Kaimu
Meneja wa Abood Media Abeid Dogoli ameithibitishia
kwamba ni kweli mtangazaji wa siku nyingi Tanzania Julius Nyaisanga
amefariki dunia leo asubuhi.
Amesema Nyaisanga alipelekwa hospitali ya Mazimbu Morogoro jana saa nane mchana kutokana na kusumbuliwa na Kisukari pamoja na presha ambapo asubuhi ya leo October 20 2013 ndio akafariki dunia akiwa na umri wa miaka 53
Mara yake ya mwisho kuingia ofisini ilikua juzi japo alikua ameanza likizo toka October 12 ambapo huu ulikua ni mwaka wake wa tatu toka ameanza kufanya kazi na Abood Media ya Morogoro kama Meneja wa kituo.
Taarifa nyingine kuhusu msiba wake utaendelea kuzipata hapa NEWALA BLOG
R.I.P Uncle J

No comments:
Post a Comment